Loading...

Magufuli safari 2, Kikwete safari 25



Kwa mujibu wa Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM),Dk Benson Bana, Rais Magufuli anaonekana kutoa kipaumbele kwa mambo ya ndani ya nchi kwa maana ya kurejesha uwajibikaji kwa masuala ya Serikali, utawala bora na mambo yanayofanana na hayo, wakati Kikwete alijikita kuitangaza nchi nyanja za kimataifa

Dar es Salaam. Hatua ya Rais John Magufuli kutoshabikia safari za nje kama ilivyokuwa kwa mtangulizi wake, Jakaya Kikwete imeelezwa na wachambuzi wa masuala ya siasa kuwa ni kutokana na tofauti za vipaumbele vyao. Kwa mujibu wa Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Dk Benson Bana, Rais Magufuli anaonekana kutoa kipaumbele kwa mambo ya ndani ya nchi kwa maana ya kurejesha uwajibikaji kwa masuala ya Serikali, utawala bora na mambo yanayofanana na hayo, wakati Kikwete alijikita kuitangaza nchi nyanja za kimataifa”Hili la mwingine kuonekana kuwa alisafiri zaidi na mwingine akijikita katika masuala ya ndani naweza kusema halina madhara, kwani vipaumbele vyao vinatofautiana wakati huyu anaonekana kutoa kipaumbele kwa masuala ya ndani ya nchi, kurejesha uwajibikaji kwa masuala ya Serikali, utawala bora, huyu mwingine aliamua kuitangaza nchi kimataifa jambo ambalo lilikuwa jema kwa wakati ule,” alisema Dk Banna. Mpaka sasa Rais Magufuli akiwa anaelekea kukamilisha mwaka mmoja tangu aingie madarakani kutokana na ushindi aliopata katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, 2015, amesafiri nje mara mbili tu ikilinganishwa na mtangulizi wake aliyesafiri takriban mara 25 kwa kipindi kama hiki.




Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright VARWAY | Designed By VUNJAMBAVU
Back To Top