Loading...

Leaders and Members from Chadema shift to ccm




Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeendelea kupata pigo baada ya wanachama 200, wakiwamo viongozi wa Kitongoji cha Kwemghogho Mahezangulu kujitoa na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) . Akizungumza baaada ya kupokea wanachama hao, Mbunge wa Bumbuli, January Makamba (CCM), alisema wananchama hao wameamua kurudi wenyewe nyumbani kutokana na kuona ahadi nyingi za maendeleo zimetekelezwa kwa kiasi kikubwa. Alisema chama chake kimefanya mambo mengi hivyo haoni ajabu ya kupokea wanachama kutoka vyama vingine vya upinzani. January, ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Muungano na Mazingira, alisema hivi sasa kuna kazi kubwa ya kuendelea kuleta maendeleo ambayo yanahitaji umoja na mshikamano. Alisema migogoro, majungu na fitina inatokana na kambi zilizokuwapo huku akiwasisitiza wana CCM watambue ni hema kubwa na linavumilia tofauti za watu. Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Kitongoji cha Kwemghogho, Shabani Kahema, aliwataka vijana na wanachama wengine kubadilika kwa kuwa CCM ndiyo chama chenye ilani inayotekelezeka.

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright VARWAY | Designed By VUNJAMBAVU
Back To Top