Loading...

Lissu He arrested by police




TUNDU Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki na Mwanasheria wa Chadema, amekatwa na polisi nje ya Bunge na kupelekwa jijini Dar es Salaam, anaandika Faki Sosi. Tukio hilo limetokea leo jioni baada ga Lissu kutoka bungeni lakini haijafahamika mara moja amekamatwa kwa kosa gani. Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amethibitisha kukamatwa kwa Lissu lakini hajajua sababu ya kukamatwa kwake. “Kweli Lissu amekamatwa na kupakiwa kwenye Land Cruiser ya Polisi na kupelekwa Dar, lakini hatujajua amefanya kosa gani,” amesema Mbowe.

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright VARWAY | Designed By VUNJAMBAVU
Back To Top